Pogba kufanyiwa vipimo.. - BZONE

Pogba kufanyiwa vipimo..

Share This
Kiungo wa Manchester United na timu ya taifa la Ufaransa Paul Pogba,  alifanyiwa vipimo vya kubaini iwapo anatumia dawa za kuongeza nguvu zinazokatazwa michezoni baada ya mechi ya United dhidi ya Juve. .
.

Katika mchezo huo United iliibuka na ushindi wa 2-1.
.
Kutokana na kufanyiwa vipimo hivyo Pogba aliikosa ndege ya timu iliyokuwa inarejea Uingereza.
.
#🅱️zone

No comments:

Post a Comment

Pages