SPORTS: Kocha wa Manchester United Jose mourinho alipewa amri za kuandamwa huku Manchester wakiwa wamepata Ushindi bao 1-0 huko Southampton jana jumamosi.
Bosi wa kileno aliondolewa na refa Craig Pawson katika hatua za mwisho za mchezo huo katika dimba la St Mary huku United wakishinda 1-0 ahsante kwa Romelu Lukaku kwa mkwaju mkali.
Bosi wa united alitolewa na kupelekwa kwenye jukwaa baada ya kuingia uwanjani na kumfanyia vitendo vya uzalilishaji mwamuzi msaidizi kwenye dakika za majeruhi za mchezo.
No comments:
Post a Comment