MESUT OZIL KUKATAA OFA YA KUONGEZA MKATABA MPYA NA ASERNAL - BZONE

MESUT OZIL KUKATAA OFA YA KUONGEZA MKATABA MPYA NA ASERNAL

Share This
SPORTS: Mesut Ozil bado hana matumaini ya kufanya uhamisho wa kushtukiza na kujiunga na Manchester United, kiungo huyo wa washika bunduki wa london mwenye umri wa miaka 28 anataka kujiunga na Jose Mourinho kwa mara nyingine tena ukiachilia kipindi chao walichokuwa wakifanya kazi pamoja Real Madrid.
kiungo huyo wa kijerumani ameamua kuudondosha mkataba wake chini ambapo atakuwa mchezaji huru msimu ujao.
Mourinho ni mpenzi namba moja wa kiungo huyo mchezeshaji na atafanya juu chini kuweza kuwa sisitiza uongozi wa united kumvuta kiungo uyo wa Kijerumani. Ozil ambae aliwaomba Asernal wamuongezee msahara wa pauni 250,000 kwa wiki huku Asernal bado wakiwa na kigugumizi cha kumlipa Pesa hiyoo.
Licha ya hivo United wameonekana wakiwa vizuri tangia ligi ilipoaanza na wakionekana ni timu inayowania ubingwa wa ligi,

No comments:

Post a Comment

Pages