Hii ndio sababu ya kwanini Arsenal walikata tamaa mapema ya kujaribu kumchukua Kylian Mbappe kutoka Monaco miaka miwili iliopita. - BZONE

Hii ndio sababu ya kwanini Arsenal walikata tamaa mapema ya kujaribu kumchukua Kylian Mbappe kutoka Monaco miaka miwili iliopita.

Share This

Kylian Mbappe ndo jina kwenye midomo ya watu wengi sana baada ya kinda huyu kuonesha maajabu yake akiwa na Ufaransa kwenye kombe la Dunia baada ya kupata ushindi dhidi ya Argentina kwenye atuua ya 16 bora.

Image result for kylian mbappe

Kinda huyu mwenye umri wa miaka 19  aliliongoza taifa lake kwenda kwenye robo fainali ya msimu huu ambapo sasa wataenda kukutana na Uruguay akiwa na kiwango kilicho bora uko nchini Urusi.

Mbappe ambae alitengeza asilimia kubwa ya matatizo kwenye ule mchezo wa Jumamosi na kujipatia penati ya mapema tuu na huko badae akapiga magoli ambayo yalitimiza idadi ya magoli 4-3 kwenye mchezo huo na kwadri vitu vizuri vinapoendelea kwa Mbappe anakuwaa ni moja kati ya wachezaji ghali sana kwasasa malipo yake ya Pauni Milioni 166 kuelekea kwa mabingwa wa Ligue 1 ambapo mbappe alikuwa Monaco ambapo alikuwa akiwavutia timu nyingi za Barani Ulaya.

Related image

Lakini pale alipokuwa anatakiwa alikuwa na Umri wa miaka 15 tu na ofa zote izo zilipigwa chini, Arsenal walionesha nia yao kubwa sana kwa Mbappe pale alipokuwa na miaka 17 na walikuwa na maongezi na wakala wa mchezaji huyo bila kusahau familia yake.

Kulingana na mwandishi mmoja kutokea Uhispania aliweza kusema kwamba Mbappe na familia yake pamooja na wakala wake walikuwa wanataka Pauni Milioni 7 kwajili ya kinda huyo ilikuweza kumaliza dili lao.

Image result for kylian mbappe

Arsenal ilitaarifiwa kwamba walichukua tahadhari ili wasijie wakaonekana kwamba wapo kwenye matumizi makubwa sana kwa kinda huyu alipokuwa na miaka 17 na ndomana dili likavunjwa,

No comments:

Post a Comment

Pages