Rekodi Industry ya Marekani mapema imempa heshima na kupatia cheti ya msanii ambaye anamauzo mengi ya ngoma zake kwenye digital Platform, kutokana na Billboard uwezo wa nyimbo moja imetambulikaa na RIAA sawa na stream 150.

Kwa kifupi Drake ni mfalme wa Streaming.
Kwa kuongezea labda nikifahamishe kwamba Scorpion teyari ishakuwa kwenye hadhi ya Platinum na teyari imeshavunja rekodi ya kusikilizwa kwenye ulimwengu wa Digital na huku album hiyo ikisikilizwa zaidi ya 132,450,203 kutoka kwenye ngoma zake binafsi ndani ya masaa 24 kutokana na takwimu za Sportifycharts.com
No comments:
Post a Comment