Nyota za wabongo zaanza kuwaka na kung'aza sasa na sasa ni zamu ya
kijana wa Kitanzania Ally Ng'anzi ambaye ni moja ya zao la Timu ya
vijana Serengeti Boys ambao walishiriki michuano ya AFCON U-17 nchini
Gabon, na sasa zao hili limepata timu mpya baada ya alipokuwa amejiunga
na klabu ya MFK Vyskov ya Czech akitokea singida United ya Tanzania na
ametolewa kwa mkopo na MFK Vyskov kwenda kukipiga kwenye klabu ya
Minnesota United ya nchini Marekani ambayo ipo ligi kuu ya nchini humo
yani (MLS)...Hongera sana #AllyNg'anzi hii ni fursa kubwa ya kuonesha uwezo wako.
All trending stories lifestyle ,Mix , entertaiment and sports everyday
for advertersiment contact us through our email Barackmhina7@gmail.com its cheapest.Welcome to announce with us for Cheaper.
No comments:
Post a Comment