ENTERTAIMENT: Dj Khaled hategemei kusimama licha ya album yake ya mwaka huu Grateful kupata mafanikio makubwa. Kwenye mahojiano na Rap-Up, mkali huyo amesema kwa sasa anakomaa kuwapata Eminem na Adele kwenye miradi yake ijayo.

No comments:
Post a Comment