Auuwa kisa Wivu.. - BZONE
demo-image

Auuwa kisa Wivu..

Share This
Mkazi wa Kijiji cha Idete-B, Anna Msangi (26) Wilayani Kilombero, Morogoro anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua Katarina Mangomile (30) aliyemtuhumu kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mumewe.  chanzo cha mauuaji ni wivu aliokuwa nao Anna Msangi kwa mpenzi wake..😐
9397356-3x2-700x467
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Pages