
Jurgen Klopp ambae ni kocha wa Liver ametambua tatizo ilo na wanatakiwa kufanya chaguo la mlinda mlango makini ambae ataweza kumtumia msimu ujao na ametambua kuwa Becker ndio ataweza kuwa ufumbuzi wa tatizo ilo.

Chelsea pia wanamnyatia kipa huyu wa Brazil lakini Liverpool wanajua kwamba mda umefikia kwa wao kuweza kumsogeza kipa huyo kwenye ardhi ya Anfield.

No comments:
Post a Comment