UZUR,UBAYA Nyuma ya Maria Carey kupitia "LoverBoy" - BZONE

UZUR,UBAYA Nyuma ya Maria Carey kupitia "LoverBoy"

Share This
Ilikuwa ni zaidi ya filamu mwaka 2001 kwenye mziki wake, Carey aliwanyong'onyeza mashabiki zake kupitia video ya ya wimbo wake ndani ya mwaka huo.

Image result for mariah carey

Aliandika Ujumbe kupitia mtandao wake ambapo aliweza kuacha kumbukumbu kwa wengi ndany ya mwaka 2001 Carey alikuwa Nyota wa kati ambae alikuwa anapigania juu ya utambuzi wa kujitambua yeye mwenyewe binafsi akiwa kama Mwanamuziki na Mwanamke.

Pale LoverBoy ilipoachiwa ilikuwa ipo wazi bado alikuwa ajapata mlango kamili wa kutokea  lakini kaa ukijua nyimbo ya LoverBoy inabakia kuwa nyimbo bora kwa Carey pamoja na kichupa chake ebu ngoja tujaribu kuangalia ni mazuri ya aliyopata kupitia ngoma hii pamoja na mabaya.

THE GOOD


  • Iliuzika vizuri kabisa ndani ya mwaka 2001
  • Ilikuwa ni moja ya video kali iliyoweza kutengenezwa na Lamy Blacknon na kujipatia baadhi ya tuzo ikiwemo Mtv
THE BAD
  • Ndo ilikuwa ni nyimbo ya kwanza kushindwa kufanya vizuri kibiashara kwa Carey licha ya kuwa Best Selling single 2001 ngoma hii haikuweza kushika ata namba 1 kwenye Billboard Hot 100
  • Lakini watu waliowengi walitupia lawama sana juu ya mwanadada huyu kwenye uchezaji wake licha ya kuwa mkali kwenye maswala ya kusakata.

No comments:

Post a Comment

Pages