DOWNLOAD/LISTEN JIDENNA – ‘BAMBI’ - BZONE

DOWNLOAD/LISTEN JIDENNA – ‘BAMBI’

Share This
MUSIC: Ebhana enheeeee umepata fursa ya kuisikia hii kutoka kwa jidenna, sasa kama wewe ulikuwa  mpenda cartoon kipindi hicho utakuwa umeshakutana na Cartoon ya “Bambi’, Good Newz Jidenna ameamua kutuletea ujio wake mpya wa ngoma ya ‘Bambi’. Its a good hit single usiache kuisikiiliza na kupakua chini hapo enjoy nayo kwa kubonyeza hapo chini
                                                                 DOWNLOAD HAPA

No comments:

Post a Comment

Pages