MUSIC: Achana na ile Marry You ya Diamond Platnumz aliyomshirikisha Neyo, hii hapa ni mpya na kali kutoka kwa hitmaker wa ngoma ya Kinyulinyuli, Samir.
Inaitwa I Will Marry You, imetengenezwa na Producer Abby Daddy. Enjoy nayo hapo chini kwa kubonyeza hiyo link
No comments:
Post a Comment