SPORTS: Wachezaji wa Asernal waendelea kujifua zaidi ili kuwakabili vijana wa west brom . Washika bunduki hao wa london wataahumana na west brom katika usiku wa Jumatatu huku wakijitahidi kujazia nyama yenye viungo vilivonona. Huku wakiwa wanatakiwa lazima washinde kwenye mchezo huo huku wakiwa wanajua wababe wa Manchester wote wakiwa kileleni mwa ligi.
Kama inavofahamika west Brom sio watu wa kuwabeza sana na kuwadharau maana huwa wanafanyaga kile wanachotumwa.
katika kujifua huko Mesut Ozil aliweza kuonekana akijiunga na washika bunduki wenzake na ikitolewa taarifa kurudi katika kikosi hicho Emirates, mjerumani huyo alikuwa akisumbuliwa na goti lakini hivi sasa amerudi katika mazoezi
, huku Theo Walcot hakionekana yupo fiti kuminyana na West Brom ukiachilia mbali na kufosiwa kutoka katika kombe la Carabao zidi ya Doncaster.
Hiki ndio kikosi kinacho tazamiwa kucheza kesho Cech, Ospina, Mertesacker, Holding, Koscielny, Monreal, Mustafi, Bellerin, Nelson, Kolasinac, Ramsey, Wilshere, Xhaka, Elneny, Ozil, Giroud, Walcott, Sanchez, Iwobi, Lacazette.
No comments:
Post a Comment