KWANINI USHINDI WA LIVERPOOL JANA ULIKUWA WA UMUHIMU SANA KWA JURGEN KLOPP NDANI YA MIAKA YAKE MIWILI NDANI YA UTAWALA WAKE..? - BZONE

KWANINI USHINDI WA LIVERPOOL JANA ULIKUWA WA UMUHIMU SANA KWA JURGEN KLOPP NDANI YA MIAKA YAKE MIWILI NDANI YA UTAWALA WAKE..?

Share This
NA BWHEREVER
SPORTS: Karibuni itafikia miaka miwili tangia furaha yake Klopp tangia ajiunge na maisha yake mapya ya LIVERPOOL. Kumekuwa na ushindi muhimu sana kwa Klopp lakini kati ya shindi hizoo kumekuwa na ushindi muhimu sana.
Sio kwa Udogo wa ushindi wao  kwasababu Leceister City ni ambayo ipo kama mdhimu uliotokea pasipo julikana liloo chukua ubingwa uliopita, Mbwa mwitu hawa wa uingereza huwa wanatakaga wamalize Agenda yao mapema, sio kwa haina yao ya uchezaji, sio kiini cha timu yao ilivo na sio kwa ukorofi wao uliopitiliza lakini mbali una uzuri wao na umuhimu wao uliondolewa. Liverpool walianguka sehemu kubwa mbili baada ya mchezo kumalizika, huku klopp akibaki kujiuliza maswali juu ya ukabaji ns ubunifu zaidi kwenye timu yake. Mbali na ushindi, goli kipa Simon  Mignolet kwa njia moja au nyingine aliweza kuiokoa siku kabisa na kumfanya Klopp aweze kupumua kisaikolojia zaidi.

No comments:

Post a Comment

Pages