Unai Emery akubali akatae lazima achafue mikono yake kwenye wakati huu mpya wa Arsenal..! - BZONE

Unai Emery akubali akatae lazima achafue mikono yake kwenye wakati huu mpya wa Arsenal..!

Share This
Jana ndio ulikuwa ukweli mtupu na muonekano sahihi wa Arsenal. Hakuna visingivizo vyovyote kwa kupigwa na timu yenye Ubora tangia msimu uliopita kwenye Ligi lakini kama watu wengi walivoona kwa Unai Emery anatakiwa kujiboresha kwa upande wake.

Kwa farsafa  yake kwenye timu yake ambayo kacheza nje ya kipa lakini pale Granit Xhaka alipokea mpira kutoka kwa Petr Cech kulikuwa na wachezaji wengi wa Arsenal wakisimama na kuangalia.

Mesut Ozil needed to give more options in order for Arsenal to get on the ball more and play

Xhaka anatakiwa kupata mtu wa kumchezesha kwa Henrikh Mkhitaryan na Mesut Ozil wanatakiwa kuwapa wenzao maamuzi ili waweze kumlisha mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang.

Kiukweli bado kuna maeneo ambapo Emery anatakiwa ajione kama mikono yake inachafuke kwenye eneo la mazoezi au mazoezini.

No comments:

Post a Comment

Pages