
Kocha huyu wa United amekuwa akisikitishwa na Uongozi wa Manchester United kuelekea msimu mpya wa ligi baada ya kufanya usajili wa mapema wa kiungo Fred ambao uligharimu pauni MIlioni 52,
Lakini licha ya usajili huo amekuwa akilazimishwa kukubaliana na mabadilko ya sera zilizokuwepo kwenye ardhi ya Old Trafford na wababe hao wa Manchester

Board ya usajili ya Manchester United inakuwa bado inaendeleza sera yake ya kukuza vijana wadogo kwenye klabu kwa kupewa nafasi kubwa na huku Ed woodward akiwekea kikazo kikubwa sana ya kuuzwa kwa Paul Pogba na Anthony Martial msimu huu.
No comments:
Post a Comment