“Unapoamua kuwa na mtu unatakiwa ujue huyo mtu ni wa aina gani, anafanya kazi gani..." Harmonize - BZONE

“Unapoamua kuwa na mtu unatakiwa ujue huyo mtu ni wa aina gani, anafanya kazi gani..." Harmonize

Share This
Utakumbuka mwishoni mwa wekeend iliyomalizika Harmonize aliweka wazi kwa sasa yupo single na maswali kuibuka iwapo amemwagana na Bi Sarah,
Image result for harmonize
Sasa muimbaji huyo amesema kilichotokea alikuwa na show nchini Ghana na mpenzi wake alikuwa akimpigia simu na kumkosa ndipo akapeleka suala hilo katika mitandao kitu ambacho hakupendezwa nacho.
Image result for harmonize
“Unapoamua kuwa na mtu unatakiwa ujue huyo mtu ni wa aina gani, anafanya kazi gani, ukishajua hivyo unakuwa ni rahisi zaidi ku-deal naye,” amesema.
Image result for harmonize
“Nakutana na watangazaji, wasanii inatakiwa ni badilishane nao mawazo, sasa ukiwa unaendekeza kila saa masuala ya kimahusiano inakuwa unanirudisha nyuma kwa namna moja au nyingine,” Harmonize ameiambia Wasafi TV.
Image result for harmonize
Harmonize ameongeza kuwa kwa namna moja au nyingine mpenzi wake, Sarah ameshindwa kuelewa yeye ni mtu wa namna gani kwani anapokutana na wasanii wengine au watangazaji wa nje na kupiga nao picha tayari ni ugomvi wakati yeye anatakiwa kufanya hivyo ili kuusogeza muziki wake mbele.
Image result for harmonize

No comments:

Post a Comment

Pages