Kushinda Kombe la Dunia 2018 na maneno yataisha, Lionel Messi anatakiwa kuwa mchezaji bora ambaye ajawahi kutokea..! - BZONE

Kushinda Kombe la Dunia 2018 na maneno yataisha, Lionel Messi anatakiwa kuwa mchezaji bora ambaye ajawahi kutokea..!

Share This
Akiongoza Argentina Urusi kwasababu ya Kumkimbiza Mpinzani wake Cristiano Ronaldo kimataifa na kuipita rekodi ya Diego Maradona,

Image result for lionel messi with argentina

Kama Argentina watabeba kombe la Dunia kunaweza kukamaliza majadiliano mtaani na kwa Upande wake Messi atakuwa mchezaji mkubwa sana kwenye historia ya Mpira.

Kwa takwimu zinasema kwamba hakutakuwa na majibizano ya aina yoyote kwa kupata mataji Tisa ya Laliga na mataji manne ya klabu bingwa Ulaya akiwa na Barcelona na kuwa na  medali ya Olympic Gold aliposhinda na nchi yake kwenye michuano ya Olympic iliofanyika Beijing mwaka 2008.

Image result for lionel messi with argentina

Pia kuna ana tuzo tamo za Ballon D'Or na kiatu cha dhahabu ambacho alibeba alipokuwa mchezaji bora wa kombe la Dunia iliofanyika Brazil miaka minne iliopita nyuma

.Image result for lionel messi

 Washindi wa kombe la Dunia siku zote wanakuwa kwenye orodha ya heshima Duniani na ambayo Diego Maradona anabakia kuwa mchezaji bora wa Argentina mda wote. Kwa kipindi kirefu nilijaribu kukwazika kwamba Cristiano Ronaldo yupo juu ya Messi kiduniani kiubora  kikubwa ni kwasababu ya kile alipokuwa na Ureno kwenye hatua ya kimataifa na ameonesha umuhimu wake kwenye kikosi cha Ureno.

Lakini ngoja nijaribu hii kuiweka isiwe ngumu sana kwa watu wangu mnaosoma hii kwamba ni hivi Argentina ndio watu pekee Urusi wenye Azima ya kushinda magoli mengi japo alishinda hat-trick dhidi ya Ecuador.

Cristiano Ronaldo of Portugal (c) lifts the European Championship

Kama ataweza kufuata Neema ya mwezi ujao kwahiyo atakuwa na kila kitu, Msinifikile vibaya Kama Ronaldo kama aliweza kuiongoza Ureno kwenye Neema ya Ulaya minong'ono yote iliisha na akazidi kuwa bora zaidi na usiache ya hiyo klabu yake ni mabingwa wa Ulaya pia na yeye akiwa chachu ya mafanikio kwenye vikosi vyake vyote.



Messi na Ronaldo wanaweza wakawekwa kwenye timu yoyote Duniani na wanauwezo wa kuibadilisha hiyo timu na kubadilika kabisa na kuwafanya kuwa wazuri, hiyo ni rahisi kabisa kwenye hatua ya vilabu ambapo Messi akiwa na Klabu yake ya Barca huku Ronaldo akiwa na Klabu yake ya Real Madrid zinaela ya kuwanunua wachezaji bora zaidi yao.

Image result for lionel messi

Kwahiyo kuwa mchezaji ambae unaweza ukaleta utofauti kwenye mashindano makubwa na hasahasa kombe la Dunia hiyo inaleta maana ya ukubwa au nimekosea?
Inabidi uchukue nafasi ya kuwaangalia wale wote waliobeba kombe la Dunia kwa miaka mfano Pele, Franz Beckenbauer, Bobby Moore na wengine wengi 



Kama atakuwa na Matokeo mazuri na Argentina kwenye Kombe la Dunia kama ilivokuwa kwa Maradona mwaka 1986 kwahiyo kiakili na haraka  haraka atakuwa amevuka ilo.

No comments:

Post a Comment

Pages