Unajua kwanini alikuwa analia baada ya Kupata Ushindi dhidi ya Costa Rica. - BZONE

Unajua kwanini alikuwa analia baada ya Kupata Ushindi dhidi ya Costa Rica.

Share This

Neymar alijikuta akiwa chini na kubugujika machozi huku akishikilia uso wake baada ya kipenga cha mwisho kilipo pigwaa baada ya kupata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Costa Rica.

Image result for neymar vs costa rica

Mshambuliaji huyu wa PSG mchana wa leo alijikuta akipatwa na uzuni ghafla na alituonesha ishara ya kushangazwa kwa kile kilichotokea ambapo Brazil waliponyea kwenye dakika za mwisho.



Baadhi ya Camera uwanjani zilimnasa Neymar akizinguana na Refa uwanjani na kunedlea kumzoza refa huyo ata kwenye kipenga cha mapumziko.alikuwa akizozana na refa huyo kutokana na mahamuzi ambayo yalikuwa sio sahihi kwa Brazil

Image result for neymar vs costa rica

Nyota huyu wa Brazil ambae ndie mchezaji ghali Duniani kwasasa aliweza kuandikia kupitia kwenye mitandao ya kijamii kwanini alilia baada ya mchezo Neymar aliweza kuandika maneno haya "Not Everyone know  what I've come through to get here. The Cry is Joy overcoming in my life things have never been easy would not be now right! The dream Continues not dream OBJECTIVE." kwa kifupi akiwa anamaanisha kwamba hakuna anaejua amefikaje na mangapi amepitia mpaka hapo alipo na haikuwa kuwa rahisi kwake yeye.


,

No comments:

Post a Comment

Pages