
Rick Ross amedondosha ngoma mpya ambayo ameshirikisha Future ikijulikana kama "Green Gucci Suit" ambapo nilifanikiwa kusikia mstari wa kwanza kutoka kwa Rick Ross akisema 'Cuban Links Diamond Dripping and the newest when you see me baby girl judt holls do your thing'
Lakini ikumbukwe rosee alitangaza ujio wa ngoma hii siku chache kidogo nyuma kupitia Us Magazine na ambapo aliweza kushare habari kuhusiana na album yake ya 10.
Mbali na Album yake hiyooo kiongozi huyu wa MMG aliweza kuongelea juun ya afya yake ambapo hapa kati alikuwa akisumbuliwa hasa kwenye mwezi wa Machi na kujikuta anapelekwa hadi Hospitali lakini yeye alichoweza kusema ni kwamba yupo vizuri
No comments:
Post a Comment