Nimekaa na Nikajiuliza kwanini watu wengi wanafurahia kumuona Lionel Messi yupo chini ya kiwango kwenye kombe la Dunia...? - BZONE

Nimekaa na Nikajiuliza kwanini watu wengi wanafurahia kumuona Lionel Messi yupo chini ya kiwango kwenye kombe la Dunia...?

Share This
Hii inasikitisha sasa kwa tabia wanayoionesha Dunia kwa Upambanaji wa Lionel Messi mchezaji ambae ameleta matumaini kwa watu walio wengi kwanini  wanapo muona Messi yupo kwenye kiwango kibovu wanafurahia?

Image result for lionel messi

Labda kwasababu yupo kwenye kiwango dhaifu kwenye kombe la Dunia labda mshambuliaji huyu wa Argentina amekuwa akitegemewa na kipaji chake pale anapokuwepo Barcelona, Labda kwasababu amejikutaka akipatwa na na Ofu kubwa kwa kujikuta yupo kwenye ushindani mkubwa sana na mchuani wake Cristiano Ronaldo ambae ni moja ya wachezaji wakubwa sana Duniani.

Nilikuwa naufatilia Ule mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Spartak Moscow Jumamosi ile iliopita ambapo alipata sare ya 1-1 na Ice land na pia niliufatilia Ule mchezo ambao alilazwa kwa magoli 3-0 dhidi ya Croatia.

Lionel Messi looks dejected at the end of Argentina's loss against Croatia earlier this week

Ushahiidi kwa michezo yote miwili walioweza kucheza ilikuwa ambapo safu yake ya ulinzi ilikuwa ikiongozwa na Lionel Messi laki lakini pia bila kusahau eneo lao ambalo lilikuwa likongozwa na walinzi wakubwa sana Duniani na pia bila kusahau mfumo ambao wanaoutumia Argentina.

Kiukweli Messi amekua Dhaifu kabisa. Kwenye mashindano makubwa kama haya kwa mchezaji yoyote anayekuwa pale atakiwi kuwa dhaifu kama alivokuwa lionel Messi ila tunamsema Messi sana lakini mimi naona kikosi cha Argentina akikujipanga vizuri wote walikuwa dhaifu we mwangalie kipa wenu  vitu alivyokuwa anavifannya na magoli aliyokuwa akifungwa.

Even without his Barcelona supporting cast, Messi has become Argentina's all-time top scorer

Argentina imekuwa na Udhaifu kwenye sehemu mbili kuu Uwanjani tukianzia na sehemu ya Ulinzi pamoja na ushambuliaji eneo la kiungo sina tatizo nalo sana kwasababu kwa michezo miwili wamefanya kazi kubwa sana. Javier Mascherano alikuwa mchezaji mzuri huko nyuma lakini anacheza kwenye klabu ya Hebei iliopo china kwasasa lakini angalia nafasi alizokuwa anaziachia ata ile ya Luka Modric, Messi anaweza akawa amekosa Penati dhidi ya Ice Land lakini alijitahidi kujaribu na kujitoa kwajili ya timu yake hakuna aliemuonesha ushirikiano alivokuja kukutana na Croatia alikuwa ni Mtu ambae alijua tu nini kitakuja kutokea.

Na pia imeonekana kuwa ni mchezaji ambae awezi kuwika bila kuwaona pembeni yake wachezaji kama Andres Iniesta, Xavi, Luis Suarez, Neymar na wengine wa Barcelona bado ajafanikiwa kukipita kiwango cha Gabriel Batistuta na kujiandikia jina jipya kwenye Taifa lake la kuwa mfungaji bora mda wote  kwasasa anamagoli 64 kwenye michezo 126 na Argentina.

Sio mbaya kwa mtu ambae anatuhumiwa kwa kuto jali pale anapochezea taifa lake.

Cristiano Ronaldo has been electrifying at the World Cup — but that does not diminish Messi

Kama kuna tofauti yeyote kati ya Ronaldo na Messi ambapo mimi ninaitafuta kwa Hudi na Uvumba nahisi ipo asee. Ronaldo anaonekana ni mtu ambae anaejipambania kwa Nuru yake binafsi anapokuwa sehemu fulani yupo na Taifa la Ureno anataka kujijengea jina kupitia Taifa lake yupo Madrid anataka kujijengea jina na kuwashinda wale waliokuwepo huko nyuma, napenda sana kumuangalia Messi pale anapocheza.

Image result for lionel messi

Haijalishi nini kitachotokea kwenye Kombe la Dunia kama Ureno wakilibeba au Argentina akipoteza Jumanne dhidi ya Nigeria siku zote nitaendelea kuwaambia Messi ni mchezaji mzuri sana sema wachezaji wenzake Argentina wamemuangusha.




No comments:

Post a Comment

Pages