Rick Ross akamatwa kwa kuhusishwa na Utekaji. - BZONE

Rick Ross akamatwa kwa kuhusishwa na Utekaji.

Share This
Akirudi na ngoma mpya amejikuta na msala mkubwa sana kwenye asubuhi ya Juni 24 rapa huyu wa Miami na Bodyguard wake anaejulikana kwa jina la Nadrian James walikamatwa kwenye mtaa wa Fayette County na wakituhumiwa kwa kosa la Utekaji.Mashtaka hayo yamepelekwa na watu wawili ambao walikuwa wanafanya kazi kwenye mjengo wa Rozay ambao hapo mwanzo ulikuwa ukimilikiwa na gwiji wa masumbwi akijulikana kama Evander Holyfield, kulingana na Mashataka Ross amejikuta  akinasa baada ya watu kufanya sherehe bila ruksa yake yeye.

No comments:

Post a Comment

Pages