Kwanini kila Mtu anamuongelea Neymar, Lakini Philipe Countinho anaonesha yeye Pia ni mchezaji hatari kwa Brazil. - BZONE

Kwanini kila Mtu anamuongelea Neymar, Lakini Philipe Countinho anaonesha yeye Pia ni mchezaji hatari kwa Brazil.

Share This
Macho yote yakiwa kwa Neymar mimi nina amini Philipe Countinho ni mchezaji hatari sana kwenye michuano ya Kombe la Dunia.

Image result for coutinho in Brazil

Tite ibadi ajisifie kwa ili anakiungo mwenye mahamuzi ya haraka sana na nijaua Barcelona hawakukosea kumchukua Mshambuliaji huyu, napenda sana kumuangalia Countinho pale naposikia yupo uwanjani anastadi kubwa sana pale anapokuwa na mpira mguuni na pia anajua kutafuta nafasi pale awapo uwanjani.

Image result for coutinho in Brazil

Ila nashangaa kila mtu anakaa kumuongelea Neymar wakati Countinho anathibitisha kwamba na yeye ni bora kati ya wachezaji kwenye kikosi cha Brazil na ndomana mabeki wanapotea kwasababu wanamuweka maanani sana Neymar wanasahau kwamba Countinho ni tishio pia.

Image result for coutinho in Brazil

Brazil walianza kwa kususua kwenye kombe la Dunia baada ya kutoka sare ya 1-1  dhidi ya Uswizi na baadae wakaja kufanya vyema dhidi ya Costa Rica baada ya Countinho kuachia mkwaju kabla ya Neymar kumaliza mchezo na kujiwekea nafasi bora kwenye kundi lao.


No comments:

Post a Comment

Pages