
Mapema ya mwezi huu Kanye aliachia album yake ya Ye ambayo imeweza kukamata namba moja kwenye iTunes na akiwa kwenye wakati mgumu baada ya kumsifia Rais wa Marekani Donald Trump sasa imeweza kusemwa kuwa Chance the Rapper ameingia kwenye Ukurasa wake Twitter na kumtetea rafiki yake huyo wa mda mrefu na kuandika kwamba "Black People don't have to be Democrats."
Kwasasa atujaweza kujua kama Chance anaweza akafanya kolabo na mkali huyu lakini kwa Uhakika tuachia masikio yetu wazi ili tuweze kusikia kitachotokea..
No comments:
Post a Comment