Mtuhumiwa wa mauaji ya Rapa XXXTENTACION akamatwa. - BZONE

Mtuhumiwa wa mauaji ya Rapa XXXTENTACION akamatwa.

Share This
Image result for Devonshay Williams
Ni siku mbili tu tokea kifo cha XXXTentaction kitokee Juni 18 kwenye mji wa Florida huku mtuhumiwa wa mauaji hayo akikamatwa.

Image result for Devonshay Williams

Kamanda wa Polisi kwenye mji wa Florida ameweza kuthibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo na amewekwa ndani siku ya jana Jumatano Juni 20 huku mtuhumiwa huyo akijulikana kwa jina la Devonshay Williams ambae ana miaka 22 na ni mkazi wa Pompano Beach kwenye mji wa Florida.



William amefunguliwa shtaka la kuuwa pia na shtaka la upolaji, Ikumbukwe rapa XXX alipigwa Risasi majuzi na kufa baada ya kutoka kwenye duka la RIVA motosports, kutokana na taarifa za polisi rapa huyu alikuwa akifuatiliwa na watu wawili ambao walikuwa na silaha za moto na wote walikuwa ni Wanaume.

No comments:

Post a Comment

Pages