Ever Banega yupo teyari kuhamia Arsenal lakini anataka Unai Emery kufanya jambo hili kwanza.. - BZONE

Ever Banega yupo teyari kuhamia Arsenal lakini anataka Unai Emery kufanya jambo hili kwanza..

Share This
Image result for ever banegaImetaarifiwa kwamba Ever Banega yupo teyari kukubaliana na Arsenal lakini anataka uhakika kutoka kwa Unai Emery.

Image result for ever banega

Kiungo huyu kutokea Argentina mwenye umri wa miaka 29 ambae alishawahi kucheza chini ya kocha huyu wa Arsenal ambapo walipokuwa wote kuanzia Valencia na Sevilla kabla ya Emery ujiunga na Psg na Banega akatumia msimu wake akiwa na Inter Milan.

Washika Mitutu hawa wanaonekana wanataka kuimalisha kikosi chao kwenye eneo la kiungo huku wakijiandaa kumtoa kiungo wao Jack Wilshere pale mkataba wake utakapo malizika mwishoni mwa mwezi huu na huku wakiusishwa kumtaka kumnasa Lucas Torreira.

Image result for ever banega

Inataarifiwa kwamba Arsenal wanajiandaa kuwanyakua wachezaji hawa wote wawili huku Sevilla wakitaka Dau la Pauni Milioni 12 kwa Muargentina huyu.

Anaweza akapewa majukumu yoyote kwenye kikosi cha Arsenal pale atakapo tua iwe 5 au ata 10 lakini Banega na ufundi wake wa kupiga psi za mwisho sijui kama utaendana na mtindo anao tumia Emery.

Image result for unai emery arsenal

Ila ikumbukwe uhamisho huu bado haujafikiwa kwenye makubaliano mbali nakuwa pande zote mbili zinataka kufaidika.

Image result for ever banega

Kulingana na taarifa kutoka kwa La Colina De Nervion Banega anataka uhakika kutoka kwa Emery kuhusu sehemu yake ya kucheza uwanjani kabla ajamwaga wino kwenye mkataba.


No comments:

Post a Comment

Pages