Udanganyifu, Kung'ata nini kitafuata kingine? Suarez amekua mtu wa maigizo sana kwenye kombe la Dunia akiwa na Uruguay. - BZONE

Udanganyifu, Kung'ata nini kitafuata kingine? Suarez amekua mtu wa maigizo sana kwenye kombe la Dunia akiwa na Uruguay.

Share This
Mshambuliaji wa Uruguay amebeba matumaini ya taifa lake huko Urusi na anajua ndio inaweza ikawa nafasi yake ya mwisho kushiriki mashindano hayo.

Related image

Wanajua nini cha kufanya kwenye kombe la Dunia Uruguay na kitu ambacho kilifanya na bodi ya Elimu kwenye nchi yao kwa kutuma Ujumbe kwa watoto zaidi ya 10,000 wiki iliopita na kusema kwashule anatakiwa kulipata pale timu yao inapoheza Urusi.

Baadhi ya Shule zilizopo America Kusini zimefungwa ili kupata mda wa kuziangalia timu zao zilizopo Urusi kwenye kombe la Dunia kila mtu anafatilia timu zao.

Related image

Lakini kwa Taifa la Uruguay matumaini yao wameweka kwa Luis Suarez, Hakuna anaependa kurudi nyumbani mapema lakini kwa mshambuliaji huyu wa Uruguay hii ndio inaweza ikawa ndo kombe lake la Dunia la mwisho na n i nafasi kubwa sana kuwa kwenye hatua hii ya kombe la Dunia kwa mchezaji yoyote ila Suarez bado anabakia kuwa kiongozi kwa wachezaji wenzake mbali na yale maigizo anayofanyaga mara kushika mara kung'ata.

Mimi naamini kwa kipindi kifupi sana Barcelona imemfanya Suarez kuwa mtu muhimu sana kwenye taifa lake kuliko alivokuwa miaka minne ilopita nyuma pale jina lake lilipokuwa kwenye midomo ya mashabiki walipoenda kwenye michuano ya Brazil.

Image result for luis suarez

Na mda wake alivokuwa nao pale Katalunya kumemfanya azidi kujiamini hakuna tena kudanganya hakuna tena Kung'ata amekaa kando ya ugomvi kwasasa na Uruguay wanajua kwamba kombbe la Dunia ni Muhimu sana kwao. 

Ila ninafurahi kumuona Suarez kakua hana tena yale maigizo ya hapa na pale Suarez anaonesha kwamba yeye kwasasa ni kiongozi ambae ataki vitu kumuendea kombo mbali na kuwa na ushawishi na kuvutia.

Image result for luis suarez

Na kama hakiendelea hivi ataifanya Uruguay kuwa tishio huko Urusi.

No comments:

Post a Comment

Pages