Hawa ndio Marapa ambao wameshawahi kuua......Watu. - BZONE

Hawa ndio Marapa ambao wameshawahi kuua......Watu.

Share This

kuna Marapa ambao wanajulikana wa  Uanishi wao Mzuri wa Kidunia na hata kukubali masuruhisho yote Duniani ya mambo ambayo sio Halali kwenye Nyimbo zao kutokea kwenye matumizi ya Dawa za Kulevya mpaka kwenye maisha ya Gang Banging na ata mauaji. 

Mda huo huo kuna baadhi ya wasanii wanaongea lakini wanafanya tofauti na wanavyoviimba wengine ni dili kubwa sana na wanathibitisha kupitia historia mbali mbali za Maisha yao binafsi.

Image result for 10 rappers who have actually killed someone

Na hii tumeiona hapo mwanzoni maandishi ya Marapa yamekuwa yakiwafanya watu wengi kufyatua Risasi, Kubeba  na kuua watu Mfano mzuri ni Ra Diggs na wanakamatwa kwa jinsi aina ya maisha yao wanavyoishi na wakishtakiwa kupitia nyimbo zao na mistari waliyoiweka we cheki mfano wa mistari hii  "Alotta p---- n----s talk like broads love runnin' they mouth / But then turn and run in they house / Put the gun in they mouth, tell a n---- talk s--- now / You think they know the gun go pow / I ain't scared of the law,". Lakini mistari kama hii inathibitisha kwamba wanaonekana marapa watamu sana tuanao waona kupitia kwenye vipindi vya reality kwenye Tv.

Related image

Lakini nini kinatokea pale rapa anapoamuua kumuua mtu? Sometimes ahadi ya marapa kwenye maisha yao ni kuelimisha jamii kwa ujumla na kama yote yakienda sawa inakua imekaa poa lakini hii kwangu mimi haitoshi kuacha maisha yale ya mtaani kwa nyuma na wapo kwenye kwenye sehemu ambayo haipo salama na kwa mda sio muafaka.

Lakini Bzone imejaribu kukutafutia baadhi ya marapa ambao ni wakubwa Duniani wamewahi kuua hebu angalia hapo chini kwenye gallery 

Cassidy;

Image result for cassidy

Maisha ya Cassidy yanaanzia pale alipodondoshwa kwenye chat za Billboard kupitia "i'm a Hustler" ndani ya mwaka  2005 Lakini mafanikio kutonga kwenye ngoma yake iliomtanguliza na Album yake ambalo lilienda kwa jina ilo ilo na ilipofika Juni 17 alikamatwa.

Rapa huyu alikamatwa  kwenye mji wake wa Philadephia kwa kosa la kuua na uzalilishaji kwa kutumia silaha  na hiyo ilimpelekea Desmond Hawkins kufa na mtu mwengine kujeluuliwa. Na akashtakiwa na mahakama kwa kufungwa jela miezi 23 huku rafiki yake wa zamani ambae alikuwa na yeye ni Rapa Ar-Ab alithibitisha kwamba Cassidy alimuua Hawkins.

Gucci Mane

Image result for gucci mane

Gucci Mane amekuwa akikamatwa karibia mara nyingi sana alipoachia Mixtape yake takwimu zake za jela kutoka kwenye makosa ya utumiaji wa vitu visivyo vya halali kama Madawa Kulevya lakini kitu kimoja ambacho kiliwashtua walio wengi pale alipokamatwa kwa Kuua Mtu alipokuwa akijilinda binafsi.

Ndani ya mwaka 2006 Gucci aliweza kuepuka mauaji ya kupigwa risasi  na kupelekea kifo cha rafiki wa Young Jeezy "pookie Loc"  Watu watano ilitaarifiiwa walishambuliwa lakini kwa Gucci yeye aliukumiwa kwa kosa la kuua lakini alipokuwa akijilinda ambapo alikaa jela mpaka mwaka 2016.

J-Dee Da Lench Mob;

Image result for J-Dee Da Lench Mob

Mwanzoni mwa miaka ya 90 Ice Cube alimsaidia mchizi wake kupata mafanikio ya Lench Mob na kuja kuwa bonge moja la Rapa Marekani lakini wakaja kuachia album ya pamoja  lakini ilipofika 1993 kundi lao wakajikuta linapata mkwaluzo kidogo  baada ya J dee kutuhumiwa kuua na kufungwa Jela miaka 29. 

Cool C 

Image result for cool c

Rapa huyu kutokea Philadephia akijulikana kwa ngoma yake iliofanya poa miaka ya 90 ikijulikana kama Life in the Ghetto alikuwa ni moja ya nyota wa mji lakini ilipofikia 1996 aliwekewa shtaka la kuua Polisi wa Philadephia baada ya kwenda kuiba kwenye moja ya bank kweny mji huo aliwekwa ndani mwaka 2015 mpaka sasa ajatoka.

Ear Hayes

Image result for earl hayes rapper



Ni rapa mwenye ushawishi mkubwa sana ambae ni rafiki mkubwa wa Floyd Mayweather na yupo kwenye kundi la Money Team lakini alishtua kiwanda cha burudani Duniani pale alipomua mke wake Stephanie Mosley na kujichukua maisha yake yeye mwenyewe Disemba mwaka 2014.

C Murder

Image result for c murder

Huyu ni kaka wa Rap Duniani na Marekani almaarufu kama Master P ametengeneza jina lake yeye mwenyewe binafsi bila msaada wowote na akifanya kazi kubwa Duniani akishirikiana na Snoop dog, C Murder alifyatua risasi kwa kijana mwenye umri wa miaka 16  Steve Thomas kwenye vita baridi kwenye klabu moja huko New Orleans mwaka 2002 na halihukumiwa kifungo cha maisha Jela.



No comments:

Post a Comment

Pages