“Kwa sababu watoto wangu bado wadogo sana na sina uhakika kama nataka kuongeza familia au la!..." Hamisa Mobetto hana Mpango kabisa wa kuongeza mtoto mwengine. - BZONE

“Kwa sababu watoto wangu bado wadogo sana na sina uhakika kama nataka kuongeza familia au la!..." Hamisa Mobetto hana Mpango kabisa wa kuongeza mtoto mwengine.

Share This
Hamisa Mobetto ambae ni mwanamitindo kutokea Bongo amejibu iwapo kwa sasa ana mpango wa kuongeza familia.

Related image

Mrembo huyo akizungumza jana katika Futari aliyoandaa kwa ajili ya watoto wasiojiweza, alisema kwa sasa bado hajapanga hilo labda huku mbeleni.
Image result for hamisa mobeto
“Kwa sababu watoto wangu bado wadogo sana na sina uhakika kama nataka kuongeza familia au la!, may be in the future hatuwezi kujua future inakuwa vipi au Mungu kapanga huku mbeleni lakini ni jambo la kheri sana,” alisema Hamisa.

Related image
Hamisa Mobetto ni mama wa watoto wawili ambao amezaa na Majey wa E FM Radio na msanii wa Bongo Flava, Diamond Platnumz.

No comments:

Post a Comment

Pages