Playboi Carti ametushirikisha orodha ya Summer Tour yake 2018. - BZONE

Playboi Carti ametushirikisha orodha ya Summer Tour yake 2018.

Share This
Mwezi mmoja baada ya kuachia Album yake mpya Die Lit PlayBoi Carti ametangaza kwamba yupo barabarani sasa, 

Image result for playboi carti

Rapa huyu wa Magnolia ametushirikisha kuona tarehe na sehemu ambazo atapiga show zake Carti atakichafua kwenye miji 19 akianza kufanya Tour hiyo Julai 24 na kumalizia kwenye mji wa Atlanta Agosti 17. Hii itakua Tour yake ya kwanza tokea afanye ile 35-date Run.

Image result for playboi carti

Carti pia ametangaza kujiunga kwenye Tour itakayofanyika Oktoba akishirikiana na wasanii kama Lil Uzi Vert japo ilisitishwa siku chache zilizo pita. Kwnye Album yake Mpya Carti ameweza kuwaweka watu kama Uzi, Skepta, Travis Scott, Pi'erre Bourne, Bryson Tiller, Chief Keef, Gunna, Young Thug na Young Nudy na wengine wengi.

Image result for playboi cartiHii hapa Orodha kamili ya Tour hiyo.

July 24 - San Francisco - Warfield Theatre
July 26 - Los Angeles - Shrine Expo Hall

July 27 - Santa Ana, Calif. - The Observatory
July 28 - San Diego - SOMA
July 29 - Las Vegas - The Joint
July 31 - Denver - Ogden Theatre
Aug. 2 - Minneapolis - First Avenue
Aug. 3 - Kansas City, Miss. - Uptown Theater
Aug. 4 - Chicago - Prysm Nightclub
Aug. 5 - Chicago - Lollapalooza
Aug. 7 - Royal Oak, Mich. - Royal Oak Music Theater
Aug. 8 - Pittsburgh - Stage AE
Aug. 10 - Providence, R.I. - The Strand
Aug. 11 - Boston - House of Blues
Aug. 12 - New York - Terminal 5
Aug. 14 - Philadelphia - The Fillmore
Aug. 15 - Norfolk, Va. - The NorVa
Aug. 16 - Raleigh, N.C. - The Ritz
Aug. 17 - Atlanta - The Tabernacle

No comments:

Post a Comment

Pages