
Lopetegui amemwaga wino kwenye mkataba mpya ambao utakaomalizika 2020 wiki chache zikizo pita Mei 22, habari zilikuja kabla ya masaa 48 ya ufunguzi wa kombe la Dunia dhidi ya Ureno pamoja na Gwiji wa Uhispania Fernando Hierro ambae ametangazwa kuwa mrithi wa Lopetegui.

Lakini Julen ajapoteza kitu kwasababu amefaidika na uhamuzi wa Zidane akiwa na miaka 51 amekubali kusaini dili la miaka mitatu kwenye ardhi ya Bernabeu.
No comments:
Post a Comment