
Loew ameweza kusema "Kazi Yangu kwasasa ni kuwaleta wachezaji wote wawe kwenye kiwango cha juu kwahiyoo wamejianda vizuri"
"Lakini baadhi yao watasindikizwa na Filimbi kutoka kwa mashabiki siku ya Jumapili"

Ujerumani watafungua kampeni ya Kundi lao dhidi ya Mexico mwishoni mwa wiki lakini gwiji wa Kijerumani ambae alishawahi kuwa kiungo wa Ujerumani Steffen Effenberg amesisitiza kwa Pamoja Ozil na Gundogan wanatakiwa watolewe kwenye kikosi.

Mchezaji huyu wa zamani wa Bayern Munich aliweza wa kusema "Pale unaoweka kila kitu kwenye thamani kama vile ilivokuwa DFB siku zote kunakuwa na mabadiliko kwa mahamuzi yaliokuwepo wanatakiwa wachezaji wawili watafutiwe usafiri."

Lakini Erdogan pia aliwageukia waandishi wa habari kwa kubuni vitu visivyo na ukweli kabisa
No comments:
Post a Comment