Sasa inabidi Soka la Afrika lichukuliwe na Makocha wazawa.. - BZONE

Sasa inabidi Soka la Afrika lichukuliwe na Makocha wazawa..

Share This
Kocha wa Senegal Aliou Cisse  alisikika akisema timu za Afrika zinatkiwa kuwa na makocha wazawa kwajili ya kuzifanya timu za ziwe kwenye hatua nyingine na kama wanataka kushindana kwenye kombe la Dunia.

Related image

Mwaka 1977 Gwiji wa Brazil Pele alishawahi kutabili na kusema timu za Afrika zinaweza kubeba kombe lakini ilipofika mwaka 2000 matumain ta utabifi huo ukaanza kupotea baada ya kuziona timu za Afrika zikiishia kwenye hatua ya robo fainali.


Kikosi cha Cisse cha mwaka 2002 kilikuwa ni moja ya kikosi kilichofika hatua hiyoo lakini bila kusahau kikosi cha Cameroon ambacho kilienda hadi hatua iyo mwaka 1990 na bila kuwasahau Blackstars ambao walikuwa wamebakiza theruthi tu waende nusu fainali.


Related image

Kocha huyu mwenye umri wa miaka 42 aliweza kunukuliwa akisema kwamba wachezaji waliokuwa wanaunda vile vikosi sasa hivi wanageuka kuwa makocha na wanaweza kulibadilisha soka la Afrika kwasasa na kulirudishabkipindi kile cha mwanzo.


Alinikuliwa akisema " Nina wakilisha kizazi hiki kipya ambacho kinatarajia kuwa wachezaji wakubwa sana Duniani."

Image result for Aliou Cisse

"Kwasisi tuliopita ni wachezaji wazuri sana ambao tulikuwa na mpira ambao ni Professional na wachezaji waliokuwa Professional kwahiyo tunahaki kubwa sana yakuwa makocha wakubwa sana tena Kimataifa."

Related image

Cisse ambae kikosi chake kitacheza mchezo wake wa Ufunguzi kwenye kombe La Dunia kwenye kundi H dhidi ya Poland siku ya Jumanne ambapo Senegal ni moja ya timu ambayo kati ya tano zinazoshiriki Kombe la Dunia  nchini Urusi 


No comments:

Post a Comment

Pages