Nimemuona Diego Maradona, Pele na Lionel Messi lakini Cristiano Ronaldo anawafunika hawa wote..! - BZONE

Nimemuona Diego Maradona, Pele na Lionel Messi lakini Cristiano Ronaldo anawafunika hawa wote..!

Share This
Ata kwa viwango vya Cristiano Ronaldo imekuwa ni tofauti sana japo wengi walizani kama haiwezekani kwa master huyu.

Cristiano Ronaldo prepares to take a free-kick during the closing stages against Spain

Free Kick yake, pamoja na Hat trick yake alioipata dhidi ya Uhispania ilikuwa ni kitu ambacho si zaidi ya Miujiza.

Image result for cristiano ronaldo

Ronaldo aliipiga ile kwa nguvu zake zote kitu ambacho si cha kawaida, hii alizungusha pembeni ya ukuta tena sio kawaida kabisa lakini pale kwenye dakika za mwisho aliingia ndani kidogo ya shimo ilikuwa ni chini zaidi ya chini asee.

Kuzalisha kitu kama kile ni kitu kingine hapa tunakiongelea ilikuwa si cha mchezo ilikuwa kama kama mkia wa nyangumi na alijua fikra kwamba nini alikuwa anataka kifanyike kwenye ule mpira. 
Nimekuwa nikishuhudia Free Kicks za Ronaldo zaidi ya miaka tele lakini hakuna ambayo ninayoweza kuikumbuka ya kiufundi zaidi hii nimeona vitu vitatu kutoka kwake Nguvu, akili nyingi kwenye ule mzunguko wa mpira na undani wake. 

Related image

Ilikuwa ni Ukamilifu mwishoni mwa mchezo kwenye usiku wa Ijumaa ambapo ilinifanya huwe mrefu sana kwangu mimi nikikaa namfikilia huyu mtu.

Hii kuhusu Ronaldo ameshawishi Wareno waliopita waliokuwepo na watakao kuja  na wale waliokuwepo pale Moscow  lakini cha kujuliza jee ataona fursa kama ile kama akitaka kuzalisha au kujizalishia yeye mwenyewe kuwa mchezaji bora mda wote  na yeye ndio mtoaji changamoto pekee kwa mpinzani wake Lionel Messi.

Image result for lionel messi

Masikini Messi alishindwa kupata chochote kuinyanyua Argentina kwenye mchezo wao wa Ufunguzi dhidi ya Iceland kwa kukosa Penati aliyoweza kupata alikuwa sio messi yule tunaemjua siku zote, sawa tunajua Ronaldo yupo kwa mda tuu na atapita.

Image result for cristiano ronaldo

Unapoaanza kuzingatia Umri wake miaka 33 na ni kile teyari alichokipata inatuambia kwamba kila kitu kuhusu yeye bado anaendelea kufukuzia ndoto zake na sio kwa yeye tu pekee lakini ata Nchi yake ya Ureno, wapo wanaongelea miujiza yake na kumfananisha kama mwanamitindo.

Ronaldo anaishi kwa mtindo wa kipeke yake na uwezi kumfananisha na mtu mwengine yoyote na ukishindanisha na Umri wake utajikuta unaumia kichwa kidogo kama alivyothibitisha kwenye mchezo dhidi ya Uhispania. 
Kama ubora huu utaendelea ebu ngoja tusibirie tuone mpaka mashindano haya yatakapomalizika.

No comments:

Post a Comment

Pages