Amekufa akiwa na Miaka 20 Baada ya kupigwa Risasi Frorida. - BZONE

Amekufa akiwa na Miaka 20 Baada ya kupigwa Risasi Frorida.

Share This
Alipigwa Risasi  siku ya Jumatatu tarehe 18  anajulikana Kama Jahseh Onfroy Almaaruf kama XXX  alikuwa na miaka 20 tu.

Related image

Kutoka na Mtandao wa Tmz X alipigwa Risasi akiwa ndani ya usafiri wake  alipoenda kununua Pikipiki, Rapa huyu wa Frorida alikutwa kwenye Gari lake, Vyombo vya kisheria vinasema kwamba mtu huyu inaonekana alifatiliwa tokea sehemu aliyokuwepo na magari matatu baada ya kutoa pesa Bank huku mashahidi wakiwaambia Polisi kwamba watuhumiwa walichukua Begi kutoka kwenye gari la XXX.

X alipelekwa Hospitali akiwa kwenye hali mbaya sana, mda kiodgo baada ya kuplekwa Hospitali ilitangazwa kuwa Rapa huyu kafa na Askari wa Broward.

Related image

Kabla ya Umahuti wake Rapa huyu alishtakiwaga kuingia Jela kwa kosa la uzalilishaji wa mwanamke ambaye alikuwa mpenzi wake mwaka 2016 lakini mwaka wa jana aliweza kutokea kwenye XXl Freshman  na aliachia album zake mbili zote zilifanya poa kwenye mtandao wa Billboard 200 huku Album yake ya 17 ikishika nafasi ya 2 na ile ya ? ikishika namba moja mwezi wa tatu.

Image result for XXXTENTACION

Lakini Rapa huyu alizaliwa na kukulia kwenye Mji wa Broward County, Florida na ilitaarifiwa kwamba alikuwa anafanyia kazi Album yake mpya ambayo aliipa jina la Skins kabla ya umahuti kumkuta.


No comments:

Post a Comment

Pages