Pep Guardiola na Yaya Toure walifurahia sana mafanikio yao wakiwa Barcelona lakini si Manchester City..! - BZONE

Pep Guardiola na Yaya Toure walifurahia sana mafanikio yao wakiwa Barcelona lakini si Manchester City..!

Share This
Ulikuwa ni Usiku mzuri sana tena wenye furaha kwenye maisha ya Soka, haya ni baadhi ya maneno ambayo aloweza kusema Guardiola pale Barcelona iliposhinda magoli 6-2 dhidi ya Real Madrid mwaka 2009. Yaya aliweza kuonesha kiwango si cha kawaida kwenye soka ilo kwenye eneo la kiungo.

Image result for yaya toure

Uhusiano wa kati ya kocha na kiungo huyu wa Ivory Cost  siku zote haukuwa mtamu kivile kmaa tunavoona kwa wachezaji wengine, Pale Guardiola alipompa ofa ya kumtoa Sergio Bosquets kwenye kikosi B na kumpa kazi ya kuzuia kwenye eneo la kiungo na Toure akijikuta akiwa nje ya upendo wapo wengi wasinge laumu kuhusu kiungo Busquet, Andres Iniesta na Xavi walikuwa pendwa sana.

Image result for yaya toure

Bado alicheza michezo 77 chini ya Guardiola na akishinda kwa pamoja klabu bingwa Ulaya na Copa Del Rey na akicheza fainali akiwa beki wa kati nyuma sio kiungo, pia aliondoka kwenye klabu akiwa na mataji mawili ya Uhispania.

Image result for yaya toure

Pale alipopata nafasi ya kuingia Ligi ya Uingereza mwaka 2010 alinukuliwa akisema kwamba “kila nilipokuwa nikijaribu kumuuliza kitu chochote (Guardiola) majibu yake yalikuwa ya ajabu sana” alimkataaa mpaka pale ilipokuja ofa ya City

Related image

Lakini Toure aliendelea kwa kusema kama angekuwa anaongea na mimi ningeweza kubakia  Barcelona ata nisingeweza kuhama mimi nilitaka kumalizia maisha yangu ya soka Barcelona.

Guardiola tumeona amefundisha majina matatu makubwa kutokea Afrika alipokuwa Barcelona akiwemo Mfaransa Eric Abidal, Etoo na Keita.

Related image

Ukimchukulia mchezaji kama Keita ambae alicheza michezo 188 kwa Barcelona chini ya Guardiola hapa ndio utajua kwamba kuna wachezaji wachache ambao walipewa mda kidogo na kocha huyu.

No comments:

Post a Comment

Pages