
Mashabiki wa Hip Hop wakiwa wanapata burudani ya haina yake kupitia Bifu ilo na kuwaona watu wakifikilia mbali juu ya Drizzy na King Push.

Drake na Pusha T wamekuwa wakitikisa kwenye mitandao tofauti Duniani kwa mda sasa huku wawili hawa wote wakianza kupigana vijembe kutokea 2011, Tangia mashabiki wa Rap wakiwa wavumilivu kusubiria mistari ya wimbo ambao Drake ata mjibu Pusha na ambao inasemwa kuwa ndio inafanyiwa kazi kwa sasa.

Wakiwa wote wanawashabiki wao na wameojionesha je kwa wewe kwa wakali hawa utakuwepo upande gani..?
No comments:
Post a Comment