
Ametumia wiki kadhaa kwenye mazoezi mjini Lisbon lakini kwenye Mile 186 amekuwa akifanya mara mbili kwa wiki na kuwafanya wazazi wake kubadilisha maisha yake na kukubali maombi kutoka Porto mwaka 2008.

Baada ya Mwaka alikuwa anajiona siku zote yupo juu kwenye Academy ya Porto na alipofikia miaka 16 alianza kufanya mazoezi kwenye kikosi cha kwanza kwa maombi ya kocha wa klabu Julen Lopetegui ambae alimjua kutokea zile siku alipokuwa anafanya kazi kwenye kikosi cha Vijana Uhispania na alicheza dhidi yake.
Ameanza kucheza Timu ya wakubwa Porto mwaka huu tu akiwa na michezo nane na kuisaidia timu yake kuweza kubeba kombe la Ligi akiwa na beki wa nyuma kutoka Leceister City Ricardo Pereira.
Mbali na hiyo alikuwa ni moja ya Starter kwenye kikosi B cha Porto na pia kikosi cha Ureno chini ya miaka 2, tangia alipokuwa akiwindwa na timu kama Real Madrid, Barcelona ambao walipeleka Ofa ya Pauni Milioni 10 ambayo ilikataliwa na Porto bila kuwasahau Napoli na Juventus pia hawa wote walikuwa wanamuinda kutokana na kiwango chake alichoweza kuonesha kwenye michuano ya klabu bingwa Ulaya kwa Vijana.

Mwaka huu ameshinda msgoli miwili na kutoa Assists tatu kwenye michezo mitano kwenye mashindano yote ni mchezaji mzuri kwa Mourinho anapenda kufanya kazi ameathiliwa na Mpira na kitu kikubwa anapenda kuboreka, Mchezaji wake pendwa ni Cristiano Ronaldo na siku zote yeyey ndo anakuwaga wa mwisho kuondoka kwenye mazoezi.

Yeye kikawaida ni beki wa Kulia lakini anaweza ata upande wa kushoto na aliweza fanya hivo kwenye mchezo waliocheza na Liverpool kwenye klabu bingwa ulaya na ameweza kuchezeshwa kiungo wa kati akitokea kulia msimu uliopita.
No comments:
Post a Comment