Beanie Sigel Kuachia Biashara yake mpya...!! - BZONE

Beanie Sigel Kuachia Biashara yake mpya...!!

Share This
Beanie Sigel inaonekana kama anatoka nje ya booth kidogo mpaka kwenye kupika biashara yake Mpya.

Image result for beanie sigel 2018

Msanii huyu kutokea State kwasasa amejiingiza kwenye biashara mpya ya Chakula kwa mda kidogo na itakuja kwenye macho ya mashabiki wake, anakuja na Umiliki wa Angelo Pizzeira ambao watakuwa wanamuongoza Digiampietro lakini kwasasa hakuna taarifa nyingi kuhusiana na Biashara hii.

Related image

Beans alionekana Instagram Jumatatu ya wiki hii akiwaanashare taarifa hii na mashabiki wake na akiandika "Beanie Bagels Coming soon"  akiwa anaiwekea Caption picha ambayo aliiweka Instagram Juni 4.
Beans kwasasa anaungana na wasanii wengine kwenye orodha ya wasanii ambao wanamiliki Biashara za Vyakula ukimjumuisha na Diddy, Cam'ron, Rick Ross pamoja na Style P.


No comments:

Post a Comment

Pages