Ronaldo anaamini kwamba aliahidiwa dili jipya na alipewa ahadi ya kupewa fungu nono kwenye mkataba mpya mwanzoni mwa mwaka, wawakillishi wake wamekutana na Real Madrid na Klabu hi ya Uhispania imeweka wazi kwamba hawatompa ofa mpya ya kuweza kulipwa kama Lionel Messi na Neymar kitu ambacho yeye anaona kama ni sahihi kwasababu ya kupata ballon'Or.
Messi nalipwa Pauni Milioni 30.7 msimu mzima kutoka Barcelona huku Ronaldo anaingiza Pauni Milioni 22 na bado yupo kwenye mawingu ya kuongeza Pauni Milioni 13, Ronaldo anataka kuwa mchezaji anaelipwa Ela nyingi Duniani.

No comments:
Post a Comment