Wawil hawa walionekana Studio Pamoja siku ya Alhamisi na picha iliochukuliwa na Producer wa Cash Money, D Roc na ilionekana wakiwa wanaongea kwa pamoja huku picha hiyo ikiwekewa caption ya "Father Like Son' we speak things into existence #Cashmoney #Youngmoney #SuperEarz #lilwayne #birdman #blatt 🔥," Roc aliandika....
Huko nyuma ilitaarifiwa kulikuwa na ugomvi mkubwa na kwamba Wayne amebwagana na Label yake ya Cash Money lakini kwa taarifa zinasema kwamba Wayne amevuna mkataba wenye donge nono kupitia Cash Money huku Settlement hiyo ya mkataba imeweza kuongezeka mpaka $10Milioni
Mwanasheria wa Wayne Ron Sweeney amethibitisha na kusema kwamba makubaliano na Cash Money yamekamilika na pande zote mbili zimekubaliana kwenye Terms za mtu mmoja mmoja za mtu anaemiliki mziki na mali yeye mwenyewe kwa upande mwengine Weezy atawajurisha mashabiki zake nini kitafuata baadae.!
No comments:
Post a Comment