Kwanini Album ya KANYE WEST 'ye' imeshindwa kutoka kwenye mda ulio haidiwa.. - BZONE

Kwanini Album ya KANYE WEST 'ye' imeshindwa kutoka kwenye mda ulio haidiwa..

Share This
Kuna msemo Mmoja hivi wa Kingereza nimewahi kusikia ukisema kama hivi 'Pressure doesn't always make Diamonds' Siku zote maumivu yanaweza yakakufanya usifikie malengo na kutoweza kukujenga na kukurudisha ulivokuwa huko nyuma..!

Image result for kanye west ye

Lakini kwa kile Kanye alichoweza kukitolea mawazo kimeumiza watu wengi, na kututhibitishia Album yake ya Nane YE ingeweza kutoka mapema ya wiki hizi za karibuni. Mashabiki wamekaa kwa hamu kumsubilia yule Kanye west wa zamani tuliokuwa tunamjua.

Image result for kanye west ye

Kuna wakati  wasikilizaji wanapata vivuli  vya sauti ambapo Kanye alipokuwa na sauti ya kukufanya humsikilize ata dakika kadhaa mbeleni, Album ikiwa na ngoma mbili pendwa ambazo zishaweza kusikika kidogo kwenye masikio ya watu ikiwemo "No Mistakes"  "Ghost Town" na nyingine kibao mbali na hiyo kwenye Album kunawasanii wazuri wakisubiliwa nao pia kusikika.

Image result for kanye west ye

Mbali na hiyo kwa ile attention ya taarifa iliowafanya wengi kusubiria kwa hamu Ye imetengeneza picha ya watu kufikilia kutosikika kwa mda huu.

No comments:

Post a Comment

Pages