Kendrick Lamar anangoma Tisa tu ambazo zimemfanya kuwa nyota. - BZONE

Kendrick Lamar anangoma Tisa tu ambazo zimemfanya kuwa nyota.

Share This
Ata kama ajadondosha Album mwaka huu 2018, Kendrick Lamar  anazidi kupata shavu kupitia tuzo mbali mbali Rapa huyu imesemwa kwamba ameweza kujipatia mpunga mrefu na kujipatia tuzo za dhahabu na Multiple Certification za Platinum tarehe 25 mwezi Mei.

Image result for kendrick lamar

Kwamafanikio yote K ambayo anayo inabidi ujue ni ngoma tisa tuu ambazo zimekuwa mzizi kwake yeye na baadhi zikiwa shina kwenye Album ya Damn ambayo ilitoka mwaka wa jana, akiwa pamoja na Gold Certification mpya Hitmake huyu kupitia ngoma ya "All The Stars" pia ameweza kupata Platinum Certification ambapo nyingine zilikuwa ni Multi-Platinum.

Image result for kendrick lamar

Ngoma ya Humble imeweza kupata zaidi ya mara 7 DNA ikipata tuzo ya Platinum mara 3 Loyalty ambayo alimshirikisha Rihhana pamoja na LOVE zenyewe zimeweza kujichukulia Platinum Mbili huku Zacari ikiwa imefikisha Platinum 4.

Related image

Kendrick anazidi kujiwekea rekodi kubwa kwenye harakati zake za mziki japo huwa kimya kwa kipindi kirefu bila kutoa Album wala Ngoma.

No comments:

Post a Comment

Pages