Huu ndio ukweli kuhusu majeruhi ya Nabil Fekir na inamaana gani kwa Liverpool likiwa dili la Pauni Milioni 53 linasubiliwa..!! - BZONE

Huu ndio ukweli kuhusu majeruhi ya Nabil Fekir na inamaana gani kwa Liverpool likiwa dili la Pauni Milioni 53 linasubiliwa..!!

Share This
Dili la Liverpool kwa Nabil Fekir limekuja kunasa dakika za mwsihoni. 
Majogoo walikuwa na matumaini ya kumdaka Mfaransa huyu kwenye Usajili wao wa msimu kuelekea kombe la Dunia baada ya kukubali kwa dili la miaka mitano.

Related image

Liverpool walifanya mazungumzo ya vifungu vya sheria kwenye ada ya Pauni Milioni 53 lakini wamejikuta wakiwa njia panda na ilo tukio likileta minong'ono mingi sana kwa mashabiki. Na kumekuwa na maoni mengi sana huku watu wakishtumu amekuwa akisumbuliwa na Goti mbali na ripoti hizo kuto thibitishwa.

Image result for nabil fekir

Fekir ameweza kucheza michezo 30 tuu pekee kwenye Ligi ya Ufaransa yani Ligue 1 huku nahodha huyo wa Lyon akianza michezo 28 na akicheza michezo 10 kwenye Europa na baadhi kkwenye kombe la Ufaransa na hizo ni baaadhi ya taarifa Liverpool wameweza kuzipata.

Image result for nabil fekir

Kiungo huyu mshambuliaji ameweza kucheza dakika 3,387 na akisaidia magoli 14 na assists 12 Fekir amekuwa mchezaji ambaye anaandamwa sana na majeruhi ya kwenye Goti huku matatizo hayo yakimuanza Septemba 2015.


No comments:

Post a Comment

Pages