Cover la Album ya 'THA CARTER III' iliofanywa na Lil Wayne imetengenezwa Upya kwa Picha za watoto wa LIL UZI VERT, YG na wengine..! - BZONE

Cover la Album ya 'THA CARTER III' iliofanywa na Lil Wayne imetengenezwa Upya kwa Picha za watoto wa LIL UZI VERT, YG na wengine..!

Share This
Siku ya Jumapili yani Juni 10 Album ya Lil Wayne ambayo ilikuwa ikijulikana kama Tha Carter III itakuwa inatimiza miaka 10 huku kupitia Spotify wametengeneza upya Cocer la Album hiyo ikiwa na Sura za watoto wa marapa ambao Weezy aliwainspire.

Image result for tha carter iii

Kampuni hii ya kuuza miziki Online wametumia watoto wa Lil Uzi Vert, YG, Chance the Rapper, Wiz Khalifa, Dj Drama, Offset, Takeoff, Young M.A na wengine kwenye sehemu ambayo alikuwepo Lil Wayne huku kwasasa Spotify wanajaribu kukaa chini na wasanii hawa na kuwaeleza Weezy na Album ya Carter ina umuhimu gani kwao.

Image result for tha carter iii

Pamoja na hayo yote baada ya Spotify kutangaza kuirudia Album ya Carter wasanii kadhaa ambao walikuwemo kwenye Album hiyo akiwemo TYGA pamoja na T-Pain wameeleza hisia zao juu ya kurudiwa kwa ngoma Album hiyo.

Image result for tha carter iii

Tangia ilipoachiwa Album hii inakaribia kufikisha miaka 10 Tunechi ameweza kutoa namba kibao ya Album lakini hii ndio ilikuwa Album pendwa kwake yeye ikiwemo na Carter IV bila kusahau ile iliowachukua wasanii wa Hip Hop tuu pekee kwenye Carter V.

Related image

Lakini kwa hamu tunachosubiria kwasasa ni kuachiwa kwa ngoma mpya ya Lil wayne akiwa anatokea tena Cash Money Records mapema mwa wiki hii.


No comments:

Post a Comment

Pages