Hii ndio sababu kwanini Gareth Bale atakataa kwenda Manchester United na kubakia Real Madrid.. - BZONE

Hii ndio sababu kwanini Gareth Bale atakataa kwenda Manchester United na kubakia Real Madrid..

Share This
Gareth Bale anaonekana kama anajiandaa kuondoka Real Madrid msimu ujao  na huku ikisemeka Old Trafford ndio atakapoenda kutua.

Image result for gareth Bale

Nyota huyu wa Wales wenye umri wa miaka 28 ameongea kwa unyekekevu baada ya klabu bingwa Ulaya na kusema kwamba alikuwa hana furaha alivokuwa na kocha wake Zinedine Zidane kwa kufanya maumuzi ya kutomuanzisha na kumuweka Benchi sio tu mechi ya Liverpool.

Bale ambae ndio alikuwa mshindi wa Fainali aliposhinda magoli mawili ikiwemo na Shuti kali lilomshinda mlinda mlango wa Liverpool baada ya kuingia katikati ya mchezo kwenye kipindi cha pili akisaidia timu yake kupata ushindi wa magoli 3-1.

Image result for gareth Bale

Baada ya mchezo kuisha alisema kwamba anaagalia jinsi itavokuwa msimu ujao na ameacha milango wazi ya kuondoka  mbali na hiyo taarifa zinasema kwamba anajiandaa kubaki kwenye ligi ya Uhispania yani La liga.

Bale aliamia Madrid nyuma ya mwaka 2013 lakini malengo yake kwenye klabu hii ya uhispania hayakuweza kutimia hasa pale alipotua Zidane Lakini kwasasa anaweza akafanya mawasiliano na Kocha wa klabu kutokea Uingereza yani Manchester United.

Related image

Lopetegui mwenye umri wa miaka 51 alitimuliwa na Taifa la Uhispania kwenye mashindano ya kombe la Dunia  na kuchukua mikoba pale Real Madrid  na ndio ataamua kwamba ambakize Bale au amrudishe kwenye ligi kuu ya Uingereza




No comments:

Post a Comment

Pages