Siku ya Jumapili tarehe 16 Juni wameachia kibao kinachojulikana Apeshit ikiwa ipo kwenye maandilizi ya mwisho yani Everthing is Love ikiwa na Track tisa inaweza ikadondoka kuelekea kwenye Tour ya On The Run II.

Unaweza ukaicheki ngoma hii kupitia kwenye link chini niliokuwekea huku Video yake ikiwajumuisha TheCarters tuu.

Video ikiongozwa na fundi Ricky Saiz na kukiwa na mitindo ya hali ya juu kutokea Ufaransa mbele ya makumbusho maarafu kuwa na michoro maarufu Duniani kama ya Mona Lisa, Venus De Milo na Sphinx of Tanis. wimbo huu kutokea kwenye Album yao inaonekana wamemshirikisha Quavo.
Hizi ndio ngoma zitakazo patikana kwenye Album ya Everything is Love.
1. "Summer"
2. "Apeshit"
3. "Boss"
4. "Nice"
5. "713"
6. "Friends"
7. "Heard About Us"
8. "Black Effect"
9. "LoveHappy"
No comments:
Post a Comment