Ikiwa siku kama ya leo Alhamisi watu waliowengi Dunia uitazamia siku kama hii ya leo kwenye matukio ya mbali mbali ya nyuma kwa kuweka picha ama Video tofauti tofauti kwenye mitandao ya kijamii almarufu kama TBT.
Hapa nimejaribu kukuwekea wakali watatu wa muziki wa RNB kwa wanadada miaka ya 90 ambapo ulikuwa huachi kuwazunngumzia wakali hawa kutokea Marekani
Mariah Carey;
Mariah Carey ni kiungo kikubwa sana cha muziki Duniani na aliishika Dunia sana kwenye miaka ya 90 kwa jinis anavopangilia sauti yake na alitoa kibao ambacho kiliwashika nyota waliowengi kwa kipindi kile huku akitoa Album yake ya kwanza ndani ya mwaka huo huo huku Carey alikuwa teyari ni moja ya watu ambao walikuwa wanaenda kumpa changamoto Whitney Houston tangia mwaka 1980 , Kwa vibao kama "Vision of Love" "Love Takes Time" "Emotions" pamoja na "Dreamlover" lakini ilipofika 1996 akabadilisha gia angani na kuleta sauti mpya masikioni kwa mashabiki zake na hapo mchuano ukawa mkali dhidi ya Mary j. Blige.
Janet Jackson;
Teyar alishakuwa Megastar baada ya mwaka 1986 Janet Jackson aliingia kwenye Riding the Juggernaut mwaka 1990 ngoma zake kutoka kwenye moja ya kazi zake zilishika vizuri mziki wa Pop na RNB kwenye mwaka wa 1990 na 1991 na vibao kama "love Will Never do Without You" Escapade" "Alright" na "come Back To me" .
Mary J. Blige;
Huyu alikuwa ni moja ya wakali wasiokamatika kwenye miaka ya 90 ndani ya mwaka 1992 aliweza kuleta kitu kipya kwenye game ya mziki kipindi icho ambapo ilimpele kwenye chat za juu kwa miaka mitano mfululizo alikuwa akijulika kama Queen wa Hip hop Soul na alikuwa akitumia nyimbo zake kuwatia moyo wanawake wasiogope kufanya jambo .
Home
Unlabelled
Hii ndio maana halisi ya Tupa nyuma kule, Hawa ndio wakali watatu wa mziki wa RNB miaka ya 90 kwa wanawake....!
Hii ndio maana halisi ya Tupa nyuma kule, Hawa ndio wakali watatu wa mziki wa RNB miaka ya 90 kwa wanawake....!
Share This
Share This
About Bwherever
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Bwherever is a Tanzanian Radio Personality and Blogger who initiative Bbaseonpoint blog.
No comments:
Post a Comment