Waafrika wamekuwa ndio timu pekee kutolewa nje ya mashindano ya kombe la Dunia kwa Sheria mpya ya Fifa ya Kuangalia Kadi nyingi za Njano baada ya goli la yerry Mina. - BZONE

Waafrika wamekuwa ndio timu pekee kutolewa nje ya mashindano ya kombe la Dunia kwa Sheria mpya ya Fifa ya Kuangalia Kadi nyingi za Njano baada ya goli la yerry Mina.

Share This
Senegal wametoka kwenye kombe la Dunia kwa Sheria ya kadi za njano.

Image result for colombia vs senegal world cup

Colombia walijua tu kwamba wanaenda kukutana na timu tishio kutoka Afrika baada ya mchezo wao ule dhidi ya Poland lakini Yerry Mina kwa kichwa chake ambacho kiliwapelekea kupata ushindi wa goli 1-0 kwenye dimba la Samara sna kujisafishia njia ya kwenda kwenye atua ya 16 bora.

Image result for colombia vs senegal world cup

wamemaliza juu ya kundi H huku senegal wakikosa nafsi ya kutoendaa baada ya kuangalia usawa wa kadi zxa njano kwa sheria mpya ya Fifa ambapo Japan wanakadi chache za njano  baaada ya kulingana alama na magoli.

Image result for colombia vs senegal world cup

Japan wameweza kupoteza kwa 1-0 huku poland wakitolewa kwenye mashindano haya  mbali na hiyo wote kwa pamoja Japan na Senegal wamekuwa na alama  tofauti ya magoli na magoli yalioweza kushinda lakini kilicho wadondosha ni nidhamu uwanjani.



Na sasa ndio wamekuwa timu ya kwanza tena kutoka Afrika kutoka kwa Sheria mpya ya Fifa. Mina ameweza kuwasimamisha Waafrika wasiweze kuendelea atua inayofuata kwa goli lake la kichwa baada ya mpira wa kona.

Image result for colombia vs senegal world cup

Senegal ambao ndio walicheza vyema kwenye kipindi cha kwanza na huku wakijua kwamba wamepata penati pale Mane alipodondoshwa ndani ya 18 kwenye dakika ya 17 lakini baada ya mwamuzi kufuatilia kwenye mikanda ya video yani VAR ilionekana kwamba sio penati.


No comments:

Post a Comment

Pages