Kushindwa kwao dhidi ya South Korea siku ya Jumatano ukichanganya na ushindi walioupata Sweden dhidi ya Mexico tumemuona Joachim Low na Vijana wake wakiangukia pua kwenye mashindano haya nchini Urusi wakiwa na miaka 80 kukaa bila kutoka kwenye hatua hii.
Sweden wameweza kushinda kwenye nafasi ya kundi ili kwa kuwapiga Mexico magoli 3-0 wakichukua nafasi ya Mexico na ilitakiwa Ujerumani wampige Korea Kusini ili wawe kwenye nafasi ya pili.
Baada ya kupoteza mchezo wa Jana kocha wa Ujerumani ambae mkataba wake unaenda hadi mwaka 2022 lakini tunaweza tukamuona anaachia ngazi baada ya kutolewa kwenye atua ya mapema kabisa.
No comments:
Post a Comment